Charger ya PC inapitisha moto lakini haichajishi PC

Charger ya PC inapitisha moto lakini haichajishi PC

padlock

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
329
Reaction score
509
Wakuu waya wa charge ya PC yangu inapitisha moto lakini haichajishi PC inaniandikia maelezo kuwa AC ADAPTER HAS WAT WAT ATA SIELEWI MWENYE UUJUZI ANISAIDIE TAFADHALI.
 
wakuu waya wa charge ya pc yangu inapitisha moto lakini haichajishi pc inaniandikia maelezo kuwa AC ADAPTER HAS WAT WAT ATA SIELEWI MWENYE UUJUZI ANISAIDIE TAFADHALI
mkuu hapa yawezekana battery imekufa, pia kwenye adapter kuna pin maalum kwa ajili ya kucharge battery inawezekana ime fail, au kuna integrated circuit (i.c) za kucharge battery kwenye pc zimekufa, au kuna connections zimekaa vibaya/hazipitishi moto zinahitaji re-soldering kati ya charge na machine.. hiyo inahitaji check up.. kama upo dar ni-pm uje ofisini nikufanyie repair
 
Battery huenda imekufa. But pia huenda kuna sehemu umeblock. Aina gani ya PC? Tatizo dogo hilo onana na fundi Mkuu
 
Back
Top Bottom