Msaada wa Laptop inaandika Fan Error

Msaada wa Laptop inaandika Fan Error

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Nina Pc yangu ndogo Lenovo think pad! Core i5 sasa nilikuwa naitumia ghafla ikawa inaandika FAN ERROR nikiiwasha so nikawa siwezi kuitumia baadae ikawa inakubari tena inazingua nikapeleka kwa Fundi akazingua kutengeneza fundi mwingine akasema tubadiri Fan akabadiri lakini tatizo bado sasa hivi inaandika Fan Error ila ukibonyeza Caps inawaka ila inapata moto sanaa sasa je nifanyaje

Mafundi wote wamezingua au kuna tatizo jingine msaada Tafadhari!!!
 
Uko wapi? hao mafundi ni wa vijiweni au ni wa darasani? Mimi sio fundi ila matatizo madogo kama hayo huwa nayamaliza mwenyewe. Fan haipozi processor ... sasa fundi anayejua inabidi aanza kufuatilia ni wapi tatizo limeanzia.
 
Nipo Dar so
 
Nipo Dar so
mimi ni professinal computer engineer with high experience kwenye computer hardware fuata huu ushauri.. mara nyingi fan error yaweza kuwa fan haipoozi(cool) processor, microprocessor, video graphics acceletator(vga), controller, au kwa computer za zamani kuna capacitor na transistors huwa zinapoozwa kwa fan.. Hapo yawezekana fan imekaa vibaya, fan ina vumbi hivyo yahitaji kupigwa blower ya upepo au kuna liquid inaitwa heat cooling compound/heat sink huwa inawekwa chini/juu ya hizo components imeisha, ua kuna carpet huwa zinawekwa chini ya processor yawezekana nazo hazipo sawa.. Kifupi hapo cooling system ndio ina tatizo.. Kama upo dar unaweza kuja ofisini tukakuwekea sawa au kama ni mtundu wa computer fuata hizo hatua hapo juu utafanikiwa. Goodluck
 
Kuna Fundi kasema njia ya umeme haipo sawa inayopeleka moto kwenye Fan je kuna kitu kama hicho kweli?
 
Ndio yawezekana kama fan haizunguki kabisa.. au yaweza kuwa haifikishi correct voltage kwenye fani.. hiyo haina tatizo hata kama haizunguki naweza kuitengenezea loop au kuchukulia moto sehemu yoyote kwenye motherboard ili mradi ipeleke correct voltage kwenye fan.
 
Gharama yake sh ngapi
 
Gharama yake sh ngapi
kama tatizo litakua kwenye motherboard tuu(path) sh 40,000 na kama tatizo litakua kwenye motherboard na fan ikiwa ime-short kabisa i mean ya kubadilisha 45,000
 
Back
Top Bottom