Msaada: Huawei Y520-U22 inasumbua

Msaada: Huawei Y520-U22 inasumbua

kwetugt

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
297
Reaction score
293
Simu yangu nikiwasha haisomi network inaishia kutoa maandishi haya "UNFORTUNATELY PROCESS COM.ANDROID HAS STOPPED."
 
dah!, hata Huawei y360 ya mdogo wang inafanya km ivyo, tena ukiwasha data inagoma ata kutach, km kna mtu anaejua jinsi ya kuiflash atujuze.
 
Hiyo OS ime collapse, fanya new installation from professionals
 
dah!, hata Huawei y360 ya mdogo wang inafanya km ivyo, tena ukiwasha data inagoma ata kutach, km kna mtu anaejua jinsi ya kuiflash atujuze.
Malzia model yako y360 haina namba zingine mbele kama jamaa hapo juu
 
Ni downloads kwa simu nyingine then ni install kwa simu yenye tatizo?
Download kweny pc ndo vizur..hata kama utadownload kweny simu yako poa tu ,ila likimalza kudownload itakubid ulicopy nauweke kweny pc yako kwaajil ya step nyingine
 
Download kweny pc ndo vizur..hata kama utadownload kweny simu yako poa tu ,ila likimalza kudownload itakubid ulicopy nauweke kweny pc yako kwaajil ya step nyingine
Sina pc mkuu waweza nisaidiaje hii kitu
 
maana yake ni bahati mbaya kitendo.com cha android kimesimana
 
Back
Top Bottom