sodeely
Senior Member
- Oct 3, 2011
- 190
- 120
Habari za muda huu wadau,nimepatwa na tatizo ambalo nimeshindwa nilitatue vipi.
Nina external HardDisk aina ya TRANSCEND storejet GB 500,ghafla imepotea haionekani kwenye pc bali taa yake inawaka kama kawaida.. Kuna document za muhimu sana ndani yake... kama kuna anayefahamu jinsi ya kutatua tatizo hili naomba anisaidie...