Ninunue simu gani kati ya iphone 5s na iphone SE?

big result now

Senior Member
Sep 8, 2013
107
70
Mambo Kuna mtu yupo uarabuni(saudia), nimemuomba anichukulia iphone 5s, lakini ninachanganya kati ya iphne 5s na iphone 5se(sijui ipi ni bora zaidi) naombeni msaada kwa mnaozijua vizuri, naomba mnipe namna ya kuweza kuigundua iphone fake.

Asanteni sana wakuu
 
SE Ni uchafu ulioje hata bei yake ipo tofauti Na 5s
SE ni baada ya 5s, ila iko chini kwa 5s bei, that means hata ubora pia 5s iko vizur zaid
mpo aware kwamba iphone 6s na iphone se zinashare soc moja hivyo hata perfomance yake ni moja, ila sababu resolution ya se ni ndogo se inaperform vizuri zaidi kwenye mambo ya gpu kama games.

iphone 5s ni slow sana compare na se, even iphone 6 haifikii se.

bei ya iphone se ni dola 400 ambayo ni zaidi ya laki 8 hela za bongo, wakati 5s zinapatikana rahisi zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom