Msaada: Laptop ya Sony Vaio haikubali game

adolf440

JF-Expert Member
Sep 19, 2015
251
207
Habari waungwana,

Naomba kuuliza kuhusu mtu mwenye ujuzi la laptop. Nina laptop aina ya Sony Vaio ila haikubali game kila nikiweka program au cd ina sema sijui graphic haipo supported na vitu vingine sivieleewi kwa vile sio mtaalum.

Tafadhali.
 
unàtumia sony model gan na ni game gan unataka kuweka?
 
Tizama requirements za hiyo game kisha uangalie kama laptop yako inakizi hivyo vigezo
 
UPDATE GRAPHICS DRIVER

tumia Driverparcks
au kama ni INTER au NVDiA download driver husika na gragics chip yako
 
jaribu kuangalia VIDEO DRIVER ZAKO kingine angalia UWEZO WA HIYO COMPUTER ALAFU ANGALIA GAME LINATAKA SYSTEM REQUIREMENTS ZIPI
 
MAGUFULI anasema kazi tu, ww MAGAME!!

Utakuta eti na ww uko 18+. Akili za Game!!
 
1477490365739.jpg
1477490371458.jpg
1477490376198.jpg
1477490384378.jpg
1477490391588.jpg
MAGUFULI anasema kazi tu, ww MAGAME!!

Utakuta eti na ww uko 18+. Akili za Game!!
View attachment 424606
MAGUFULI anasema kazi tu, ww MAGAME!!

Utakuta eti na ww uko 18+. Akili za Game!!
Acha kukurupuka uwe unauliza
 
Washamaliza yao hao. Nchi iko vzr na mfukoni kwake kuko vzr. Ww ndie ujilinganishe na Obama? Fanya kazi ww Magame achia watoto.
Halafu wewe ueleweki ml, mara magame ya watoto, mara hao wako vizuri nfukoni.. Nielewe lipi
 
Back
Top Bottom