Nimekwama apa

skull

Senior Member
Aug 18, 2016
157
104
wakuu niko na equity bank sasa imekuwa impossible kabisa kulink hii card na paypal .sijapata verfication code mpaka ninavyoandika ujumbe huu ni wiki sasa wakuu, mana ninavyojua kwa equity hii code ya paypal ingekuja kwa sms kupitia number niliyofungulia, paypal wao wameshalamba 1.5 dollars na wanasubiri niweke tu code ili iwe verified..je niki ignore Process watarefund hio amount waliyokata?
 
nenda bank omba statement utaikuta hio code, kama wameshakata hela inamaana na code ndio imefika
 
Back
Top Bottom