Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI). Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki...
1 Reactions
2 Replies
926 Views
======= Aston Villa’s Smith discusses Samatta and Betrand Traore omission in Sheffield United win Mbwana Samatta was omitted from the Aston Villa squad that defeated Sheffield United 1-0 on...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
KAZI ya kwanza ya beki anapokua uwanjani ni kuzuia mashambulizi. Anafanya hivyo akihakikisha mipira hatari inayoweza kusababisha bao haimfikii golikipa. Kwa kufanya hivi, beki anawazuia wachezaji...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Tff ndie mdau wa kwanza wa mpira nchini kwetu hamna sera yeyote ile hata kutueleza nia yenu siku moja hatujawahi kusikia kuhusu sehemu za kuchezea yaani pitch. Inasikitisha kwakweli kwa taasisi...
2 Reactions
2 Replies
822 Views
Mimi naanza na huyu Sergio Ramos, ni miongoni mwa wachezaji wanaochukiwa na timu pinzani kutokana na aina yake ya uchezaji, jihadi bila kusahau kebehi zake. Karibu kwa mjadala...
5 Reactions
65 Replies
5K Views
Ningekuwa refa ningeweka mpira kati,potelea mbali
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna maneno mengi sana kwenye magroup yakiwahushisha asilimia kubwa kuihujumu timu aidha kuihujumu GSM Wanadai wanawambia sana taratibu za kusaidia timu wanaonekana waongo wanawasikiliza sana...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau, kumekuwepo wimbi la wachambuzi wa mpira hasa wa miguu hapa nchini. Je wewe yupi unamkubali, na kwa vigezo gani? Ainisha hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
88 Replies
9K Views
Hii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi. Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapo.
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Wachezaji sita wa Simba wa kimataifa wameitwa kwenye timu zao za Taifa. Wachezaji wa Yanga imekuwaje hata hawachezei timu zao za Taifa. Hii ina maana gani kwa soka la Bongo? Wamenunua makapi au...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Kwa nini kiwanja pande hizi? Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mdau wa football... Katika maisha ya soka kuna wachezaji waliocheza timu moja mara 2.. Yaani akauzwa, au mkataba wake ukaisha akaondoka then akarudi tena kwenye klabu yake ya zamani na maisha...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Inaniuma sana nikiwa Kama shabiki wa soka mkubwa. Hasa nikiwatazama mahasimu wakubwa wa soka waliokuwa wakinogesha soka kwa uhasimu wao uliowekwa na mashabiki wa soka duniani? Majina yao...
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Naona kama kalenda ya kimataifa imebana hadi tarhe 17 na team kama simba ina wachezaji sita wa kimataifa wameitwa huko bado hapa ndani kwetu sijui itakuwaje? TFF waliliangalia hili, angalau wao...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni Simba SC dhidi ya African Lyon pale Azam Complex. Mechi itaanza hivi punde ni mechi ya kirafiki kuwapa burudani watanzania wote. Mako dinda mako stamina. Bendera chuma mlingoti chuma.....Show Show
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Naanza na Salamu ya Daima Mbele Nyuma Mwiko. Mimi nikiwa Mwanachama na Mfuasi wa Timu ya Wananchi Kindakindaki kwakweli Mpira walioucheza Simba SC Jana dhidi ya Biashra United umetushituwa sana...
12 Reactions
60 Replies
5K Views
Wiki mbili zilizopita hapa hapa Uwanja wangu wa 'Kujidai' katika huu Mtandao wangu pendwa kabisa wa JamiiForums nilikuja na 'Uchambuzi' wangu wa Kuwahusu Wachezaji Wawili wa Wapinzani wangu (wetu)...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Anaandika @exaud_msaka_habari Leo nimewaza Jinsi swala la @bm3gh linavyopotea kirahisi nikajisemea hapana ngoja niwe kila mwezi nakumbusha mara moja mpaka tumpate mchawi. Yani naona kama Movie...
1 Reactions
3 Replies
918 Views
Wala huhitaji 'Akili' kubwa au 'Kubishana' mno pale tu ukiambiwa kuwa Mchezaji Clatous Chota Chama ni 'Football Genius ' duniani na mbinguni pia.
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom