Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

Simkubali yeyote.. Labda zamani sasahv nafahamunvingi kuliko wao via internet na kufuatilia mwenyewe ligi mbalimbali.

Zamani wakiwa wanachambua hasa dokta lleakey niliwaona noma balaa.
 
Asante kwa kuwa mkweli bro
George ambangile yule jamaa nimemfollow kote namfuatilia sana, yaani anachambua mechi sio kusimulia Kama kumwembe.

Big up

George namwelewa sana, sipatagi muda sana wa kusikiliza radio au kuangalia TVs, ila kwa kiasi ninachosikiliza, inatosha kujua kwamba jamaa yuko miles nyingi mbele ya wenzake.

Toka ameondoka Magic sijawahi tena kuisikiliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom