Yupi ni mchezaji bora katika list hii ya Wabrazil?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,714
45,099
Hii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi.

Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapo.

IMG_4066.JPG
 
Mimi kuna watu watatu ama wanne..kuna Mbrazil mmoja alikuwa anaitwa RAI. Halafu kuna Romario huyu aliibeba mabegani Brazil. Kuna Cafu na kamanda mtiifu DUNGA. Hawa walikuwa kazi hasa. Chakulia BEBETO je nani atasimama miaka hiyo na wanaume hao
 
Changamoto vijana wa siku hz hatukuwaona hao wakicheza ila haiondoi kuwa jamaa walikuwa ni mafundi haswaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom