Kwa navyofahamu Viongozi wa vilabu hivi viwili wanachaguliwa na wanachama. Sasa mwenyekiti ana sera zake nzuri tu kwa klabu na ana watu wake waliomchagua, Makamu wake vivyo hivyo, wajumbe nao wana...
Leo tarehe 4 march kulikwa na mechi kati ya yanga vs jkt ruvu lakini tff kupitia bodi ya ligi kuu imeufuta mchezo huo na kuupeleka mbele mpaka tarehe 11 yaani jumatano ijayo, tarehe 8 yanga...
Sijawahi kuona uzi kuhusu watu wanaopenda michezo na kufanya mazoezi. Hebu naomba tukutane hapa tukipeana mbinu mbalimbali za michezo, ikiwemo
1: Trick za ku push mwili kuvuka limit yake.
2: Nini...
Uongozi wa Azam FC umetangaza rasmi kuachana na kocha wake Joseph Omog baada ya kuwa nae kwa kipindi cha miezi 14.
Mwalimu huyo wa zamani wa Leopards ya Kongo anaondoka ikiwa ni siku mbili baada...
Tuorodheshe vituko vyote vilivyo fanywa na tff tangu Jamal Malinzi awe rais pale tff..Mimi naanza na hiki;.............. Simba kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano na tff ya Malinzi...
timu kongwe hapa nchini simba spot club haijapata viongozi wazuri mda mrefu waliopo sasa waongowaongo mataperi kanuni za ligi wanavuruga yaani ni shida bin balaa.
tuombe mungu isije hadhi ya...
Nawauliza TFF hii mechi ratiba imekosewa au lengo kuihujumu Yanga.
Jumatano Yanga kucheza na JKT kisha Jumapili acheze na Simba mwisho wa wiki kucheza zimbabwe hii inaashiria nini ni bora mechi...
Katika Hali Isiyo Ya Kawaida Na Ambayo Wengi Hamkuijua Ni Kwamba Jana Katika Ule Mkutano Wa Simba Rais Wa Simba Alifanyiwa Mtego Wa KIMAFIA Na Siyo Wa Kiungwana Baada Ya Kuingizwa Mtegoni Na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 32TAREHE 03 MACHI 2015UAMUZI KAMATI YA MASHINDANO
Timu za Ujenzi Rukwa na Volcano FC ya Morogoro zimeshushwa madaraja mawili hadi ligi za wilaya baada...
Ki uhakisi Sijui ni mm Binafsi au vip . ,kwakweli sivutiwi kabisaa na mwanamke anayeshabikia Mpira wa miguu .
Mbaya zaidi nikute anabishana kabisa na wanaume,au nimuone anachambua mechi ...
Mchezaji nyota ambaye pia ni kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria amesema kuwa alifanya makosa kujiunga na Kilabu ya Manchester United msimu uliopita.
Raia huyo wa Argentina...
Nipo naangalia fainali ya capital one cup kati ya Chelsea na Tottenham na mvua imeanza kunyesha kipindi cha pili huku mashabiki wakiloana.. Naona manager wa Tottenham anahangaika kujifuta maji ya...
dah hii tatizo nini mbona msimu timu yetu simba mnatia aibu na pressure za bure mashabiki wenu. hivi tatizo ni kwa viongoz au wachezaji au ni sisi mashabiki ndiyo kikwazo kwa simba kutokupata...
Kutokana na Azam FC jana kushindwa kuhimili fitna za ugenini,bado naamini Simba na Yanga ndizo timu pekee katika michuano hiyo. Simba na Yanga wameshafanyiwa hujuma ugenini hadi wamekomaa kwa...
Kocha wa timu ya Mwadui FC Jamhuri kiwhelu ‘Julio' ametua timu ya Coastal Union hadi mwisho wa msimu huu.
Kocha huyo mwenye maneno mengi, ameiwezesha timu ya Mwadui kupanda daraja kushiriki...
Kama yanga imeingia botswana ikiongoza bao 2 ,alafu wanaongeza bao moja ugenini then wanapanic kiasi kile baada ya bdf kusawazisha,wanashindwa kuweka mpira chini na kurilax,wanabutua ka vile...
A Tanzanian artiste has been accused of shoplifting from one the supermarkets in the city. Yassin Ali Wanga, 37, allegedly stole six Aliya Feston plates valued at Sh2,100 from a popular...
Baada ya furaha ya kufuzu raundi nyingine kwa Yanga, leo tuwe pamoja kwa wawakilishi wengine wa Tanzania, Azam FC. Tukumbuke mechi ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam, Azam ilishinda goli mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.