Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kila la heri Morocco team, wengine tupo nyuma yenu dhidi ya Portugal, wale maadui na wasiowapenda Morocco/waarabu haiwahusu mada hii. Kila la heri ndugu zetu Morocco, tupigieni hao ndugu zao...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Nimeijua website hii toka 2020, nimeangalia michezo mbalimbali sana sana mpira wa miguu ligi zote. Hata nikiwa kwenye gari, nikiwa bank msingi wangu ulikuwa ni Mb na smartphone yangu tu. Kombe la...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Katika mashindano yote niliyoshuhudia, from 1998-2022, basi hili ndio shindano bora kwangu(2022), sio tu shindano, bali na muandaaji mwenyewe QATAR na tamaduni zake nimezifurahia sana sana...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Ronaldo alianza kumtuma Pepe na Bruno Fernandez wa ureno kusema kuwa FIFA wanambeba Messi. Tokea hapo kumekuwa na wimbi kubwa la mashabiki wa Ronaldo ambao kila mechi ya Argentina wanalalamika...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa? Morocco...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema: "Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno...
2 Reactions
2 Replies
921 Views
Shirikisho la Vyama vya Soka limetangaza Uganda kujiondoa kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) kwa sababu ya mzozo kuhusu ufadhili wa Serikali Rais wa Shirikisho hilo, Moses Hassim Magogo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwavyovyote vile Manara anavinasaba na Simba, aliipenda Simba, alihudumu Simba na ana kadi ya Simba. Sote tunafahamu alifikaje Yanga aliko sasa hivi. Je, kuondoka kwa Barbara na MO Simba...
0 Reactions
66 Replies
3K Views
Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wachezaji wa Ureno Pepe na Bruno Fernandes wanamlaumu Messi na Argentina kwa kufungwa jana. Wanasema kuwa FIFA inamuandalia Messi kombe la dunia kwa lazima na ndio maana refa wao aliwekwa wa...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi 60' Timu zinashambuliana kwa zamu 58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa 55' Argentina wanaamka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka la Morocco (MFF) limetoa tiketi 13,000 kwa mashabiki wa timu yao ya taifa kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Ufaransa, Jumatano Desemba 14, 2022. Ndege za...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno! Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo...
13 Reactions
96 Replies
5K Views
Pesa ya Kombe la Dunia huko Qatar 2022 hii hapa: • Winner - USD $42m (97.9b tsh) • Runner-up - USD $40m (93.2b tsh) • Third Place - USD $27m (62.9b tsh) • Fourth Place - USD $25m (58.3b tsh) •...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali. Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu. Vamos Argentina.
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam! Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini? Muda wowote tajiri...
22 Reactions
212 Replies
14K Views
Ninaposema kuwa GENTAMYCINE ni habari nyingine katika kuzipata zile za ndani ambazo huwa mnazificha muwe mnanikubali sawa? Na najua baada ya uzi wangu huu mtaandaa counter ili kuja...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari za ndani kabisa tulizozipokea zinaeleza ya kuwa mojawapo kati ya hizi klabu mbili kongwe hapa nchini ipo mbioni kupigwa mnada. Japo chanzo chetu cha kuaminika hakijaitaja moja kwa moja...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Haya mashindano mnayaharibu kwa kupanga timu za daraja lisilojulikana na timu za ligi kuu. Ingependeza kuwepo kwa mchujo kabla ya kukutanisha hizi timu. Yanga Azam Simba Watafunga hata goli 30...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom