Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Naanza kujiuliza maswali haya:
1.Itakuwa ya kudumu?
2.Itakuwa ya mkataba?
3.Atateuliwa na Rais?
4.Kama atateuliwa,kwa kipengele kipi cha katiba/sheria kinachotambua cheo hiki?
5.Ataajiriwa na utumishi?
6.Kama ataajiliwa,kwa sheria gani?
7.Atakuwa na ofisi na wasaidi wengine?
8.Bajeti yake kwa sasa itatoka katika fungu gani?
9.Au ajira hii itasubiri Bunge la Bajeti?
10.Kama ajira itasubiri Bunge la Bajeti, ina maana Rais hatatoa hutuba nje ya nchi mpaka Bunge likae maana tumebiwa ile ya Rwanda ndio ya mwisho?
11.Kama Magufuli alivyofuta kile kitengo cha lishe na dawati la wageni pale Ikulu, Rais atakaemfuata Magufuli hawezi nae kuja kufuta cheo hiki cha mkalimani wa Rais?
12.Je,uamuzi huu hauna element ya gharama?