Naanza kampeni kwa Taasisi na Makampuni yote Tanzania

Afande Nyati

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,385
1,414
Wakuu nataka kuanza door to door campaign na CV zangu mkononi. Sasa nataka kujua makampuni, taasisi za binafsi na serikali zilizopo Bongo ili kuanza kupeleka maombi.

Naomba kama unafahamu taasisi yoyote ya kueleweka tupia jina humu na address yake ili twende sawa.

Natumai kupata ushirikiano wa kutosha.
 
wewe sio mzma bora uanze kampeni ya kushika jembe
 
Wakuu nataka kuanza door to door campaign na CV zangu mkononi. Sasa nataka kujua makampuni, taasisi za binafsi na serikali zilizopo Bongo ili kuanza kupeleka maombi.

Naomba kama unafahamu taasisi yoyote ya kueleweka tupia jina humu na address yake ili twende sawa.

Natumai kupata ushirikiano wa kutosha.
Unagombea Nini? lakini mbona Uchaguzi bado!
 
ANZA NA HIZI

TBS
P. O. BOX 9524 DAR

SIDO
P. O. BOX 2476 DAR

TFDA
P. O. BOX 77150 DAR

Weight and Meassure Agent
P. o. box 313
Dar

Kila la heri
 
NOTE; kazi za hizo taasisi na zingine hutangazwa kwa kuzingatia taratibu za utumishi wa uma..sasa sijajua kama huwa wanapokea barua za mikononi
Kuna ambazo unaweza kupeleka cv's directly hasa mashirika mengi yasio ya kiserikali na NGOs.
 
Back
Top Bottom