Kauli ya Hapa kazi tu namustakabali gani katika kazi

FAU86

Member
Apr 19, 2013
63
15
Nilipenda kusikia Sera ya rais wetu Sera ya HAPA KAZI TU

Sera hii nilijua inamlengo wa kimapsna zaidi na kazi au ajira kwa vjana na watu wote kwa ujumla lakin cha kushangaza naona kama imelenga kuimarisha maadili ya watumishi kazini badala ya kujenga missing ya kazi kwa wahanga

WENZANGU MMELIPOKEAJE HILI
 
Back
Top Bottom