Graduate IT Technician is needed for part time job

rahman2

Member
Apr 3, 2016
6
0
natafuta IT tech
awe anajua kutengeneza website & designing.kampuni yangu ni ndogo ndio inaanza hivo awe anakaa Temeke ili kupunguza gharama za usafiri.pls inbox me .this work from home job/part time
 
....kutengeneza website & designing
designing ya nini mkuu?
 
awe designer wa website,logo,na matangazo ya biashara kama vile mabango nk
 
natafuta IT tech
awe anajua kutengeneza website & designing.kampuni yangu ni ndogo ndio inaanza hivo awe anakaa Temeke ili kupunguza gharama za usafiri.pls inbox me .this work from home job/part time
je akisha kutengenezea unaachana naye
 
Back
Top Bottom