Nafasi za kazi TRA msaada

Ntangilege

Member
Aug 4, 2013
25
3
Habarini za jioni wana JamiiForums,

Samahani naombeni nisaidiwe hili nilifanya application TRA kwa hizo nafasi za assistant tax na wameniita (waamenitumia email) na kunipigia simu utata wangu ni kwamba sijamaliza degree ndo nipo mwaka watatu mzumbe namaliza mwez wasaba je nikienda na progressive results wanaweza kunikubalia kufanya interview?

Asanteni.
 
minimum qualification za post uliyo omba ni zipi??
kama walitaka degree /advance diploma watakukata tu..progressive report sio stand..
 
minimum qualification za post uliyo omba ni zipi??
kama walitaka degree /advance diploma watakukata tu..progressive report sio stand..
qualification walitaka degree au advanced diploma mm nina diploma tuu na hiyo degree ndo ipo on progress
 
we nenda kajaribu bahati yako. kama wamekuita ina maana wameridhika na wewe. usikatishwe tamaaa. kajaribu bahati yako. kila LA kheri
 
Mkuu sitaki kukuficha wala kukupa moyo..

TRA Wapo makini sana..ila kama una mda wa kupoteza nenda..

umakini wao upo kwasababu wana applicants wengi wenye vigezo so ku minimise fiirst stage mchujo ni kuanza kuangalia vitu vidogo vidogo kama nakala kugongwa copy na mwanasheria n.k

so ukienda usijue kuna msalia mtume..
 
Hawawezi kukubali., kuitwa interview kwa hizi online application unaweza ukaitwa hata kama umeishia STD 7 na ukajaza kuwa una Degree.! Ila ukienda kwenye interview sasa ndo watakakugua vyeti na hapo ndo itakuwa shughuli.! Usipoteze muda kwenda ndugu., subiri mwakani watatangaza tena ukiwa umemaliza utaomba., huwa wanatoa kila mwaka hizo nafasi
 
poa
Mkuu sitaki kukuficha wala kukupa moyo..

TRA Wapo makini sana..ila kama una mda wa kupoteza nenda..

umakini wao upo kwasababu wana applicants wengi wenye vigezo so ku minimise fiirst stage mchujo ni kuanza kuangalia vitu vidogo vidogo kama nakala kugongwa copy na mwanasheria n.k

so ukienda usijue kuna msalia mtume..
asante mkuu kwakunifungua maana sina uzoefu wowote
 
Mkuu sitaki kukuficha wala kukupa moyo..

TRA Wapo makini sana..ila kama una mda wa kupoteza nenda..

umakini wao upo kwasababu wana applicants wengi wenye vigezo so ku minimise fiirst stage mchujo ni kuanza kuangalia vitu vidogo vidogo kama nakala kugongwa copy na mwanasheria n.k

so ukienda usijue kuna msalia mtume..
Mkuu ni nakala gani za kugonga zinapita kwa mwanasheria? tujuzane
 
Hii tanzania ya jeykei haijaisha tu? saiv ni hapa kazi tu! Watu wapo kitaa miaka 6 wewe unaitwa na result slip! Mh Majaliwaaaa njooo uku uone madudu.
 
Mkuu ni nakala gani za kugonga zinapita kwa mwanasheria? tujuzane
Mkuu, siku hizi kiukweli hawa waajiri wamekua wasumbufu sana..ndo mana ukiwa una enda interview na copy za vyeti vyako ni kheri uwe uumepitisha kwa mwana sheria kavi certify just to be on the safe side..
wengi wanafanya hivi kuondoa usumbufu wa kubeba original documents wakati hata hujaombwa kuleta ..
na isitoshe ajira nyingi saizi serikalini wanataka copy iliyopitwa kwa mwanasheria
 
Hii tanzania ya jeykei haijaisha tu? saiv ni hapa kazi tu! Watu wapo kitaa miaka 6 wewe unaitwa na result slip! Mh Majaliwaaaa njooo uku uone madudu.
mkuu TRA wana fanya mchujo in various stages, so waki toa vacancies..wana sema degree ama equivalent to..sasa apa mkiomba atta na diploma mtapokelewa maombi yenu..mkiitwa sasa kule ndo utatoka unalalamika mbona hawakusema mapema n.k.....watu wanatoka mkoa afu wakikaguliwa vyeti kabla ya pepa written wana chujwa apo apo
 
Usipoteze muda wako kwenda mdogo wangu.
Kwa kua uliomba kupitia mtandao ukajaza taarifa walizozitaka sasa ukienda ukawa huna hizo sifa utakua unaenda kupoteza muda.

Msiwe mnapenda kufanya majaribio ya mambo ya msingi, umemzibia nafasi mwenzako kumbe sifa huna.

Serikalini haajiri kwa transcripts, wanataka cheti. Nadhani haga walionaliza chuo mwaka jana na bado hawajapata vyeti hawawezi kupata kazi.
 
mkuu TRA wana fanya mchujo in various stages, so waki toa vacancies..wana sema degree ama equivalent to..sasa apa mkiomba atta na diploma mtapokelewa maombi yenu..mkiitwa sasa kule ndo utatoka unalalamika mbona hawakusema mapema n.k.....watu wanatoka mkoa afu wakikaguliwa vyeti kabla ya pepa written wana chujwa apo apo
Mwaka juzi mdogo wangu alikua kamaliza chuo ifm akaomba akaitwa usaili, nikamkataza asiende maana alikua hana cheti ana matokeo tu, akalazimisha akaenda alivyofika kwenye kukagua wakamrudisha. Tra wako makini kwenye kuangalia sifa za watu wawatakao.
 
Nasikitika kwamba naikosa hii ishu,

Nliomba nafasi zote mbili, na zote nimepata ,wamenipigia simu kama mara 4 hv, mara zote nakuja kukuta missed call na ninawapigia back wananielekeza

Na email zote ninazo, but nasikitika kwamba nimebanwa na mambo ya kifamilia na siwez kwenda, niliomba wanipangie wakat mwingine wamechomoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom