mwezimpyanewmoon
New Member
- Apr 5, 2016
- 3
- 2
Habari wadau..? nauliza kuna alieitwa au kupata tetesi za hizi bank mbili wanaita lini interview, FNB nafasi za Dodoma na Arusha, Mwalimu sijui hata ni Branch zipi... Msaada wakuu
sawa mkuuBank bila connection sahau kupata kazi., labda bank ndogo ndogo hizi.! Ukiona kimya ujue wameshafanya yao., endelea na maisha yako