Kama anazo dola 800 na yupo tayar kufanya kazi kuweit ntafute p.mHabari wanajamvi,
Kuna Dada yangu ana certificate ya nursing. Ame'volunteer hospitali fulani hapa Dar zaidi ya mwaka ila hakuweza kupata kazi. Naomba kma kuna yeyote anaweza kunisaidia kwa hili ili aweze pata ajira.
Asante.