Wapishi Wanapatikana!

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,381
Habari za Karume day?
Wapishi wenye uzoefu wa kupika vyakula safi na vyenye ladha nzuri kwenye shughuli kama harusi,send off,kitchen party,misiba,mikutano nk

Tupo full na vifaa vyetu kama food warmer,sahani,vijiko,turubai,viti na hata kupamba pia tunafanya kwenye kumbi/maeneo ya shughuli.

Bei zetu ni nafuu sana kulingana na hitaji la mteja.

Tunapatikana Arusha mjini.

Mawasaliano: 0752489529 au ni PM.
 
Back
Top Bottom