Persie
Senior Member
- May 2, 2012
- 188
- 15
Hivi ni kwel kuna ajira mpya zinatangazwa au soko la ajira limeshajaa sasa kinachofanyika ni kubadilishana wafanyakazi maana kila kazi experience at least 3 years sasa swali ni je hawa fresh graduate ambao kila mwaka wanaongezeka ndio hawana nafasi au? Nini kifanyike?