Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari wananzengo,nimeitwa kwenye interview TBC nafasi ya producer tumeambiwa tuende kufanya vitendo kwa maana ya practical. Naomba msaada wa kunijuza katika hiyo nafasi nijiandae maeneo gani?
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Senior Grants Operation Manager Location: Arusha PURPOSE OF POSITION The Senior Grants Operation Management has overall responsibility for the leadership and management of all WVT major grants...
1 Reactions
0 Replies
652 Views
Wakuu habari, Kampun gani nzuri ya ulinzi inayolipa atleast vizur kwa wafanyakazi wake. Hali ya kimaisha imekuwa ngumu sana, Nataka nijitose huko kwenye ulinzi tukusanye mitaji. Level yangu ya...
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari Wakuu. Mimi ni Graduate wa Diploma ya uuguzi na ukunga (Nursing and Midwifery). Kiuhalisia nilikuwa ninaomba kama ninaweza kupata hospitali ya kujitolea au shirika lolote lile la Afya...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna mahala wanahitaji secretary (katibu muhtasi) mwenye qualification plz hapa ni mahala pa kusaidiana. I dont need any thing kwa sababu hata mm nimefika hapa kwa connection ya watu!! Uje pm...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninatafuta nafasi ya kazi /kibarua. Elimu -Kidato cha sita. Umri -28 Jinsia -Me Makazi -Dar es salaam.
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi. Tusaidiane ndugu zangu Mimi ni binti miaka 24 Napatikana tabata DSM Elimu kidato cha 4 Pia nimesoma computer basic...
4 Reactions
32 Replies
5K Views
Habarini ndugu zangu, Jinsia yangu ni ya kike, Nina uhitaji wa kazi katika nafasi ya cashier/waitres either kwenye Hotel ama Restaurant nina uzoefu wa kutosha Au kazi inayohusiana na mambo ya...
2 Reactions
3 Replies
852 Views
Habari zenu Wakubwa; Naamini hamjambo. Mimi pia. Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 24. Natafuta kazi ama shughuli yoyote halali inayoweza kuniingizia kiasi chochote cha pesa. Kwa wakati hui...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu naombeni ushauri wa haraka ndugu zangu. Nina mdogo wangu ana diploma ya community development Ila ni mwaka watatu Sasa Hana ajira anadunda tuu mtaani. Sasa anahitaji kujiunga security...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Hivi ni lazima kisheria kujiunga na chama cha wafanyakazi kisheria, maana mimi nimeungwa moja kwa moja bila consultation na kwakweli sipendi hivi vyama wala sitaki kukatwa pesa yangu kuchangia...
1 Reactions
3 Replies
751 Views
Hapa karibuni Utumishi imekuwa ikitoa majina ya shortlisted ndani ya wiki mbili au 3 toka siku ya deadline.Ila hizi ajira za EGA zimechukua zaidi ya mwezi hata majina ya shortlisted bado...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wapendwa, nauliza hivi kuna tofauti gani ya kutuma barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono na iliyochapishwa kwa mashine? Na je, ni kweli kuwa barua iliyoandikwa kwa mkono ndio...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Hello, Anahitajika binti, mdada au mwanamke wa kufanya kazi kama mhudumu na msaidizi wa mama ntilie Ajue kupika vyakula mbalimbali Ajue kuhudumia wateja na awe na lugha nzuri kwa wateja. Eneo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna uhitaji wa mwalimuwa chekechea mmoja. Shule ipo Iringa Ifunda. VITU VYA KUZINGATIA Awe ni mkazi wa Iringa Awe na Cheti cha mafunzo ya watoto wadogo. Uzoefu ni muhimu ila sio lazima Kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari za siku. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 ni clinical officer (afisa tabibu)naomb nafasi ya kazi kwenu ninyi niko tayari kufanya kazi hospital, pharmacy,NGO's or anywhere my...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunatafuta Mpishi (mwanamke au mwanume) anayeweza kupika pizza, burger na cake za aina mbalimbali. Eneo ni kigamboni. Vigezo mpishi atapewa vifaa vya upishi lakini atajitegemea kwa vitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nisiwachoshe mie ni fundi wa simu ninahutaji mtu anisadie hata pakufanyia kazi au tufanye kazi nalazimika kuomba huu msaada nimekutana na mtihani wa kusimbewa kilakitu nilivyokua nimesafiri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Director of Finance and Administration (DFA) Tanzania C3HP HIV/TB Job Category: Finance Requisition Number: DIREC02201 Posted: September 29, 2020 Location: Dar es Salaam, DAR, TZA Job Description...
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Individual National consultancy to support an assessment of the child protection Parenting Education Programme (In 12 Districts) Job no: 534751 Contract type: Consultancy Level: Consultancy...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Back
Top Bottom