Utumishi wamefikia wapi ajira za za mwezi wa 8??

Utumishi wamefikia wapi ajira za za mwezi wa 8??

danford83

Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
7
Reaction score
6
Hapa karibuni Utumishi imekuwa ikitoa majina ya shortlisted ndani ya wiki mbili au 3 toka siku ya deadline.Ila hizi ajira za EGA zimechukua zaidi ya mwezi hata majina ya shortlisted bado hayajatoka.Vipi wanakwama wapi??
 
Back
Top Bottom