Mpishi wa pizza, burger na cake anahitajika

Mpishi wa pizza, burger na cake anahitajika

sic2019

Senior Member
Joined
Oct 14, 2018
Posts
129
Reaction score
82
Tunatafuta Mpishi (mwanamke au mwanume) anayeweza kupika pizza, burger na cake za aina mbalimbali. Eneo ni kigamboni.

Vigezo mpishi atapewa vifaa vya upishi lakini atajitegemea kwa vitu vilivyobaki na malipo ni makubaliano na Mwajiri. Tuma ujumbe kwenda 0762177935

MPISHI.jpeg
FB_IMG_1600778746118.jpeg
 
Back
Top Bottom