Msaada wa nafasi ya kazi

Msaada wa nafasi ya kazi

adelina123

Member
Joined
Oct 3, 2020
Posts
8
Reaction score
30
Habarini ndugu zangu,

Jinsia yangu ni ya kike, Nina uhitaji wa kazi katika nafasi ya cashier/waitres either kwenye Hotel ama Restaurant nina uzoefu wa kutosha Au kazi inayohusiana na mambo ya ofisini, secretary/office attendant...Nitashukuru kama nitafanikiwa kupitia jukwaa hili maana ninayopitia Mungu pekee ndo anaejua naona kama nafika mwisho wa kufikiri
 
Weka mawasiliano yako na vile vile toa taarifa za muhimu kama vile upo mkoa gani n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom