Msaada wa nafasi ya kujitolea (Uuguzi na ukunga) nipo Dar es Salaam

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari Wakuu.

Mimi ni Graduate wa Diploma ya uuguzi na ukunga (Nursing and Midwifery). Kiuhalisia nilikuwa ninaomba kama ninaweza kupata hospitali ya kujitolea au shirika lolote lile la Afya, nipo tayari kwa Sasa.
 
Sawa
Subiri Hapa Upate Connection
Hujasema Upo Sehemu Gani Maana Unaweza Kupata Popote
Ikawa Shida
 
#Jipatie
Logo kwa Tsh. 35000,
Flyers na Posters kwa 20000,
Brochures kwa 30000,
Business Card pc 110 kwa 35000
Tunafanya kazi zote za Graphic Designing,
Pia tunafanya Video Editing & Making.
Tucheki #0620275619
#NipeDili
 
Back
Top Bottom