Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

miriam 111

Senior Member
Aug 25, 2018
100
225
Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi.

Tusaidiane ndugu zangu
Mimi ni binti miaka 24
Napatikana tabata DSM
Elimu kidato cha 4

Pia nimesoma computer basic applications na niko vizuri kwenye Ms Word, Ms Excel ,PowerPoint, Publisher na hata matumizi ya internet.

Nmefanya kazi kama wakala wa Equity Bank pamoja na Nmb Bank
Pia nimefanya kama secretary
Pia nina uwezo wa kupika chakula vizuri, bites na kutengeneza juice nzuri za matunda na Ukwaju

Hata wenye connection za viwandani pia nipo tayari

Ahsanteni.
 
Eminentia

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
2,163
2,000

Tuma no zako dm
 
RO7 ZA MGOS

JF-Expert Member
Sep 27, 2016
361
1,000
Ndg ,,,,miriam ntaomba mrejesho kwa hawa member if kwel wote wana nia ya kutoa ajira kwako au connection maaana kjn wa kiume akipost ze same need pipo zna nyaraaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom