Natafuta nafasi ya kazi sekta ya afya

Classics

Senior Member
Mar 8, 2017
194
341
Wakuu habari za siku.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 ni clinical officer (afisa tabibu)naomb nafasi ya kazi kwenu ninyi niko tayari kufanya kazi hospital, pharmacy,NGO's or anywhere my knowledge will be applicable.

Asanteni niko active immediately endapo nitahitajika.

Mawasiliano:0629375839
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom