Anahitajika Mwalimu wa Chekechea

Gladson thomas

New Member
Jun 9, 2016
2
1
Kuna uhitaji wa mwalimuwa chekechea mmoja.
Shule ipo Iringa Ifunda.
VITU VYA KUZINGATIA
Awe ni mkazi wa Iringa
Awe na Cheti cha mafunzo ya watoto wadogo.
Uzoefu ni muhimu ila sio lazima
Kwa mawasiliano zadi
0712746253 Whatsapp au 0624169990
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom