Nimeitwa kwenye Interview TBC nafasi ya producer, nijiande na nini?

Royal Tour

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
250
452
Habari wananzengo,nimeitwa kwenye interview TBC nafasi ya producer tumeambiwa tuende kufanya vitendo kwa maana ya practical.

Naomba msaada wa kunijuza katika hiyo nafasi nijiandae maeneo gani?
 
Ukifika isifie sana serika utapata kazi bila hata technical answers
Habari wananzengo,nimeitwa kwenye interview TBC nafasi ya producer tumeambiwa tuende kufanya vitendo kwq maana ya practical.
Naomba msaada wa kunijuza katika hiyo nafasi nijiandae maeneo gani?
 
Wewe ni Producer ? , Ingawa mimi sio Producer ila nadhani inabidi ujiandae Ku-Produce...
Ninazo ABC kidogo katika production kazi kubwa ninayofanya ni presenter wa vipindi na maeneo ya news coverage.
 
Habari wananzengo,nimeitwa kwenye interview TBC nafasi ya producer tumeambiwa tuende kufanya vitendo kwa maana ya practical.
Naomba msaada wa kunijuza katika hiyo nafasi nijiandae maeneo gani?

Hakikisha huishi hapo bila kuwa na Hirizi tafadhali.
 
Hongera kwa kupata hiyo nafasi
Kwani umesomea journalism?maana kama umesomea journalism sidhani kama utaitaji kuuliza swali kama hilo
Mimi nimesomea hiyo course nipe ramani nami niombe kazi hata kama kwa baadae
 
Kwani walitoa nafasi za kazi tbc?

Back
Top Bottom