Habari za muda huu;
Kama kuna mtu ana CPA (PP) anahitajika
Pia Kama kuna mtu ni expert wa kutengeneza Transfer Pricing Policies anahitajika haraka zaidi.
Please contact me via: hu_ba@ymail.com...
Habari wadau!
Amini usiamini kuna watu leo wanatimiza miaka kumi tangu wagraduate na hawajai kuajiriwa najua wanapitia changamoto nyingi za maisha kwa hiyo ww uliyehitimu miaka miwili au mitatu...
Wadau mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu BAED mwaka 2016 nimejaribu kutafuta kazi kwa udi na uvumba lakini mambo bado ya moto.
Nimepost uzi huu ili muweze kunisaidia kujua baadhi ya...
LEGAL SERVICES FACILITY
JOB OPPORTUNITIES
The Legal Services Facility (LSF) a registered non-government Organization (NGO) with Registration No. 00NGO/R2/00011. It is a basket fund created to...
Habari
Kwa jina naitwa Khadija ni muajiriwa katika kampuni iitwayo FEKAS GENERAL SUPPLY, ambayo inajihusisha na kusambaza bidhaa mbalimbali kama vile vifaa vya Shule na ofisini,vifaa vya...
Wakuu salama..!!
Wife anaomba kazi kwenye system ya Public Service Recruitment Secretariat lakini inamletea error hii
wakati yeye kitambulisho cha NIDA alisha upload taarifa zake. Na akirudi...
Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.
Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.
Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea...
Ndugu yangu, nakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
Habari natumaini wazima.
Wakuu Hali ya maisha ni ngumu mno hali bado tete kila siku bora jana kuliko leo huku...
Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia...
Habarini
Kuna NGO fulani ilitoa vacancy mwezi uliopita na karibu kila forum ya ajira tangazo lilikuwepo nika apply as usual
Leo nikasema ngoja nipitie kidogo email inbox, bana bana nafungua hio...
Ikiwa ni miezi miwili sasa imeisha tangu serikali itangaze ajira za ualimu, na kuwaelekeza wenye sifa waombe kupitia mfumo wa OTEAS, kumekuwa na taharuki kubwa miongoni mwa waombaji kutokana na...
Kampuni ya Ukandarasi iliyopo mbeya inahitaji.
-Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering.
-Lazima awe registered na Bodi ya Wahandisi yaan ERB
-Ajira ni ya Mkataba wa...
Si kila tangazo unaloliona kwenye mtandao ukazani ni verify kwani kuna utapeli umejitokeza kama walivyotapeliwa baadhi ya wanachuo na THE WALKERS INTERNATIONAL.
USITUME CV/RESUME kwa mtu...
Najiuliza tu hivi serikali inakuaga na bajeti ya intern Doctors au hua ni mpaka wazitafute, kama zipo kwenye bajeti kwanini zisitolewe on time? Imagine tupo hospitalini toka 10 november hapo...
Habari waheshimiwa!
Kuna kauli moja au msemo mmoja wa waswahili unasema mla nawe ndio mfa nawe.
Nawaomba waheshimiwa kwa nafasi zao walizoteuliwa na kuchaguliwa wasije kuwasahau vijana...
Kama kichwa cha habari hapo juu mm ni me umri ni late 20s, nipo dar es salaam kwa sasa elimu ni shahada ya maendeleo ya watu na ninafamilia kwa mwenye kazi ninamudu kazi mbalimbali za kutumia...
V Lyne Tech Company LTD is a Technology development and distribution company that provides businesses with access to modern tools, technologies and support to help them increase their...
Ardhi University has vacant positions in the Academic cadres. The University subscribes to the policy of an equal opportunity employer and therefore invites applications from candidates who are...
Habari zenu
Nina diploma ya pharmacy kutoka st John's university. Natafuta sehemu ya kufanya kazi iwe community pharmacy, polyclinics au hata hospital. Nipo tayari kujitolea pia kwa kipindi hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.