Tamisemi yafuta kwenye tovuti yake tangazo la ajira za waalimu 13,000 zilizotangazwa wakati wa kampeni

Oct 14, 2020
12
53
Ikiwa ni miezi miwili sasa imeisha tangu serikali itangaze ajira za ualimu, na kuwaelekeza wenye sifa waombe kupitia mfumo wa OTEAS, kumekuwa na taharuki kubwa miongoni mwa waombaji kutokana na serikali kukaa kimya pasipo kutoa majina ya waliopata ajira hizo.

Mbaya zaidi hata tangazo la hizo ajira limefutwa kwenye tovuti ya TAMISEMI.

Hii ina maana gani?
 
Back
Top Bottom