Tahadhari: Mnaotafuta kazi kuweni makini na hili

logan007

Senior Member
Nov 22, 2020
197
200
Si kila tangazo unaloliona kwenye mtandao ukazani ni verify kwani kuna utapeli umejitokeza kama walivyotapeliwa baadhi ya wanachuo na THE WALKERS INTERNATIONAL.

USITUME CV/RESUME kwa mtu usiemfahamu kwani anaweza kuitumia kwenye kuombea mikopo na nk then ukaingia wewe matatani
 
kwani haya matangazo ya kazi mara zote
tunatuma CV Kwa watu tunaowafahamu?
 
Dahhhh.....
Alafu kuna nafasi za kazi zimetangazwa sehem, ila naona tu uvivu kuziweka hapa kwasababu vigezo vyake kidogo naona vimechangamka....😎
 
Watu wana mali zisizohamishika na bado hawapewi mikopo.
Hiyo mikopo anayosema mleta mada ni ile ya 500 au 1000?
Yaani upate mkopo kwa kigezo cha CV tu.
MaHR managers wangekuwa matajiri zaidi ya Aliko Dangote maana wanalalia CV za watu.
 
Si kila tangazo unaloliona kwenye mtandao ukazani ni verify kwani kuna utapeli umejitokeza kama walivyotapeliwa baadhi ya wanachuo na THE WALKERS INTERNATIONAL.

USITUME CV/RESUME kwa mtu usiemfahamu kwani anaweza kuitumia kwenye kuombea mikopo na nk then ukaingia wewe matatani
upate mkopo kwa kutumia CV duuh , kwel dunia imeendelea sana
 
Back
Top Bottom