Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,159
- 1,944
Habarini
Kuna NGO fulani ilitoa vacancy mwezi uliopita na karibu kila forum ya ajira tangazo lilikuwepo nika apply as usual
Leo nikasema ngoja nipitie kidogo email inbox, bana bana nafungua hio email nakutana na Dear Q your among of shortlisted candidate nikaanza shangwe kama za fiesta.
Then nikatulia nikaanza kusoma upya ndo nakutana na hicho ki stage cha psychometric test, nikafadhaika kwa kuwa sikukielewa nikaenda google nikakuta kuna sehemu Dar es Salaam wanafanya nikawapigia wakasema hawafanyi hio kitu ( blow), hio NGO hata physical address haionekani (another blow ).
Kwenu Big people hivi kitu ipo kweli? Watu wanapata kweli? Ina umuhimu gani?
Je, baada ya hayo yote mnanishauri nini, nifanye nini msaada wenu tafadhari mwenye taarifa zaidi anijuze mwenye experince zaidi anisaidie.
Sorry kwa maelezo ya haraka haraka kichwa kipo site.