Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki. Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa. Pia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
LEO KWAMARA YAKWANZA NAOMBA NIWASHIRIKISHE JAMBO LA KI IMANI, Habari zenu wana jamii? Mungu ni mwema mimi ni mzima kabisa. Naona vijana wengi mambo yamekua yakienda ndivyo sivyo tulivyotegemea...
7 Reactions
43 Replies
11K Views
Habari, Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
JOB TITLE: Key Sales Account Manager Main purpose of the Role: To generate new business and ensure that sales targets for Cartrack in Tanzania are met. Managing key accounts, maintaining long...
0 Reactions
3 Replies
855 Views
TANGAZO LA KAZI TAREHE 23, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani, Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Najua utumishi mpo humu mlitangaza nafasi za kazi za director of employment facitation and local content na manager of business development and faciliation za NATIONAL EECONOMIC EMPOWERNT COUNCIL...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu, Nimemaliza level 2 ya umeme juzi tu hapo. Nilikuwa naomba mnisaidie kwenye maswala ya kazi zinazohusiana na Umeme au sehemu ya kujishikilia mdogo mdogo nipate mia mbili tatu za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kama mtu amemaliza chuo cha ufundi veta amepata certificate ya level II (VC2) na Level III (VC3) anaweza kuajiriwa sehemu gani au anaweza kuomba kazi sehemu gani naombeni msaada jamani.🙏🙏🙏
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hellow wadau poleni na majukumu ya kutafuta tonge.. Langu ni moja tu nimekuja nalo hapa mimi ni mtangazaji wa vipindi vya michezo ila nipo kwenye ngazi ya cheti na kutokanana na ugumu wa maisha...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu waungwana, Dada wa kazi anahitajika awe anapatikana Dar es Salaam kwa sasa. Awe mjuzi hasa wa mapishi. Ni anakaa na mtu mmoja pekee mzee wa makamo. Awe msafi na mstaarabu. Mhitaji ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Salamu kwenu wana Jf. Vijana wengi kwasasa tunafaa kujiajiri na kufanya kazi bila kubagua. Dhana hii isitumike kama kigezo cha kutokuomba au kutuma maombi ya kazi katika mashirika binafsi na/au...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha. Haya sasa, kazi kwenu vijana.
7 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za Jioni ndugu zangu. Natumain wote mu wazima wa Afya, naomba nijikite katika Mada moja kwa moja kama nlivyo ambatanisha apo juu. UTANGULIZI Kwa miaka takribani 10 sasa tumekua na...
5 Reactions
15 Replies
5K Views
Mara nyingi huwa najiuliza kwanini vijana wengi wa Kitanzania tunapenda sana kuajiliwa? Je. kwa kuwa hatuna ndoto ambazo tunataka kuziishi? Au kwa kuwa tunajua ili ufanikiwe inatakiwa uwe ume...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Habarini wadau kwa anaejua ngazi za mishahara SIDO kwa kada za business development officers na credit officers tujuzane packages zake
4 Reactions
13 Replies
5K Views
TANGAZO LA KAZI TAREHE 17, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV. Huduma...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama ilivotajwa hapo,Mimi ni kijana wa Miaka 23 ninatafuta kazi au interniship .Nina ujuzi katika maswala ya Graphic design, Photography,Video shooting and editing, Screenwriting. Nimehitimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom