Changamoto kwenye mfumo wa Sekretariati ya ajira

Changamoto kwenye mfumo wa Sekretariati ya ajira

Mtanzanyika

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
369
Reaction score
431
Wakuu salama..!!

Wife anaomba kazi kwenye system ya Public Service Recruitment Secretariat lakini inamletea error hii
20201209_195849.jpg


wakati yeye kitambulisho cha NIDA alisha upload taarifa zake. Na akirudi kwenye Personal details ili ku-update inamwambia.

20201209_195911.jpg
.


Naomba msaada kwa mwenye uzoefu nini cha kufanya ili aweze ku-apply kazi na kusolve hiyo error
 
Wakuu salama..!!

Wife anaomba kazi kwenye system ya Public Service Recruitment Secretariat lakini inamletea error hii View attachment 1645663 wakati yeye kitambulisho cha NIDA alisha upload taarifa zake. Na akirudi kwenye Personal details ili ku-update inamwambia View attachment 1645664. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu nini cha kufanya ili aweze ku-apply kazi na kusolve hiyo error
Inabidi aende kwenye ofisi zao huko ndio wataweza kumsaidia
 
Wakuu salama..!!

Wife anaomba kazi kwenye system ya Public Service Recruitment Secretariat lakini inamletea error hii View attachment 1645663 wakati yeye kitambulisho cha NIDA alisha upload taarifa zake. Na akirudi kwenye Personal details ili ku-update inamwambia View attachment 1645664. Naomba msaada kwa mwenye uzoefu nini cha kufanya ili aweze ku-apply kazi na kusolve hiyo error
Mwambie afute/delete/editi hapo kwenye kitambulisho cha NIDA halafu asave upya.Logout then logini halagu lete mrejesho.
 
Wakuu salama..!!

Wife anaomba kazi kwenye system ya Public Service Recruitment Secretariat lakini inamletea error hii View attachment 1645663

wakati yeye kitambulisho cha NIDA alisha upload taarifa zake. Na akirudi kwenye Personal details ili ku-update inamwambia.

View attachment 1645664.


Naomba msaada kwa mwenye uzoefu nini cha kufanya ili aweze ku-apply kazi na kusolve hiyo error


Hapo shida ni kuwa alisajiri, account moja kwa NIN na akasajisahau akasajiri account mpya kwa kutumia the same NIN hapo ndipo inapotokea hiyo warning ya pili.

Ili kukusaidia kama unakumbuka email ya usajili kwa mara ya kwanza itumie kureset password then endelea. Tatizo hamsomi guide na hizo warning zao ni very short hazina detail nyepesi kuelewa.
 
Back
Top Bottom