The easy day was yesterday

The easy day was yesterday

logan007

Senior Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
197
Reaction score
200
Baada ya kutafuta ajira kwa muda sasa na bila ya kupata nimegundua kuwa.

1. Bila ya kuwa connection hakuna kazi.

Nimeamua kuvichoma moto vyeti vyote
 
😂😂😂😂😂😂 mkuu nilijua umegundua njia ya kupata kazi
 
😬😬😬
15032020.jpg
 
Umeona kuvichoma moto vyeti ndiyo suluhisho mkuu? Sometimes connection inaenda na vyeti ujue!ungevifungia tu huko kabatini siku ukihitaji iwe rahisi. Usikate tamaa si pekeako ni wengi tu bado tunapambana😧😦
Duh jamaa kakata tamaa sana. Ila kuna muda mtu inabidi asahau kuwa ana vyeti atafute plan B maana vyeti kuna muda vinakufanya uzubae uwe na matarajio ambayo yanaweza yasije au yachelewe sana. Jamaa sema asingevichoma angeviweka mbali tu
 
Malizia IT PAYS TO BE A WINNER,,kwa ufupi hiyo motto ni ya seals, na inawakumbusha kutokata tamaa..so usikate tamaa ndugu yangu
 
Write your reply...Tupo wengi kitaa boss sio wewetu,tupambane tusiwaze sana ajira zikitokea pw zisipotokea pw kikubwa uzima man.
 
Usichome vyeti moto, unaweza kupata kazi za muda ukavitumia hivo vyeti.Mm nauza genge lakini siku nyengne napata vijikazi vya muda kwa kupitia hvyo vyeti. Pia nina plan ya kuviuza manake kuna watu wana connection lakini hata vyeti hawana na hawana akili ya kufaulu masomo ya elimu ya juu. So mkuu afadhali ungeviuza tu ukapata mtaji wa kufungua japo barber shop mtaani.
 
Umuuzie nani boss?? ama unaishi kwenye 1980's?
 
Duh jamaa kakata tamaa sana. Ila kuna muda mtu inabidi asahau kuwa ana vyeti atafute plan B maana vyeti kuna muda vinakufanya uzubae uwe na matarajio ambayo yanaweza yasije au yachelewe sana. Jamaa sema asingevichoma angeviweka mbali tu
unafikiri kuna mbongo kweli jasiri wa kufanya hivyo anachangamsha genge tu hapa..
 
Back
Top Bottom