Nina Elimu ya Umeme ngazi ya Cheti: Natafuta kibarua ili niweze kumudu gharama za maisha

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
838
Ndugu yangu, nakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara

Habari natumaini wazima.

Wakuu Hali ya maisha ni ngumu mno hali bado tete kila siku bora jana kuliko leo huku janga la #COVID19

kupata mlo mmoja bado ni tabu sana Kupata kibarua/kazi halali bado ni shida sana .
waswahili wanasema bila connection kujuana kupata kazi/kibarua ni ngumu mno utaangaika sana nimeshazunguka nusu ya viwanda dar es salamu lakini kazi sijapata mtaani napo Hali ni ngumu mno hakuna kazi

Nimekuja hapa kwa mara nyingine kuomba kwa yoyote aliye na kazi au aliyesikia kazi mahali popote pale sichagui kazi yoyote nitafanya iwe ya halali tu.

Ninaweza kufanya kazi kama mfanya usafi wa ndani na nje, gateman, na kusimamia miradi, mtunza bustani, kazi za ufundi umeme majumbani ,viwandani na maofisini au Msaidizi wa fundi umeme.

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27

Elimu yangu nina Certificate of Electrical Daraja 3 .

Ndugu zangu wana JamiiForums naombeni yeyote mwenye kibarua hasa katika maeneo ya dar es salaam na mikoa ya kaskazini anipatie ili niweze kufanya kazi ya halali na nipate riziki ya halali hatimaye niweze kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza Fanya kazi Zambia?
 
Tatizo binadamu hatuaminiani siku hizi.

Nakushauri tafuta mwenye duka kubwa la electronics au electrical items, kwa kudhaminiwa na mtu wa karibu na utambulisho wa cheti chako omba ufanye marketing pita kwenye majumba na maofisi tengeneza taratibu connection za ufundi wako.

Wazo zuri sana Mkuu au akishindwa aanze kama kibarua TANESCO baada ya miezi 6 atapata kazi tu.TANESCO juzi wameajiria certificate nyingi sana afu kibarua anapewa kipaumbele
 
Subiri kwanza korona ipite, ili tujue nani ameondoka na nani kabaki.... we tulia baada ya korona kazi nyingi zitakuwa hazina watu..
 
Mbona nasikia umeme hot cake sana,

Nashangaa kusikia una struggle kupata kazi

Jaribu kujichanganya mkuu, usijifungue geto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haijawa rahisi kihivyo kule wanawekana.
Hata wale wanaojitolea mle wana ndugu zao usifikiri rahisi kuingia mle.
Wazo zuri sana Mkuu au akishindwa aanze kama kibarua TANESCO baada ya miezi 6 atapata kazi tu.TANESCO juzi wameajiria certificate nyingi sana afu kibarua anapewa kipaumbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom