Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau ninamiaka karibu Sita mtaani bila ajira Rashmi japo nimejitahidi Sana kufanya shughuli zangu zingine za Computer maintenance niliojifunza mtaani japo bado kipato hakijitoshelezi. Kilio...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu Salaam, Naitwa Didas E.Michael. Nina bachelor degree of statistics and mathematics. Natafuta kazi katika taasisi yoyote ile iwe ya kiserikali au binafsi, makampuni,NGO au mashirika yoyote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I know JF has wide possibility to help me, so come on! I'm a man(29) I've knowledge in computer application based MS-word, excell, access, internet, powerpoint and publisher. Whoever/wherever I...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Tunahitaji yeyote mwenye uzoefu na kazi za staionary. Awe na uwezo wa kutumia computer hususani program zote za machapisho. Awe mzuri wa kutumia internet Aweze pia kuandaa na ku post matangazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kazi kwenye hospital na pharmacy nimesoma Pharmacy miaka miwili sina leseni ila cheti ninacho Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. Mimi ni kijana wa kiume Miaka 24. Mkazi wa Arusha. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Naomba kwa yeyote mwenye kuweza kunipa ajira ya muda au ya kudumu. Kitengo chochote iwe ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada wana JF nina cheti cha IT pamoja na mambo ya Clearing and Forwarding nina leseni ya udereva Class D naombeni msaada hata kwa kujitolea nijifunze kazi.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF I hope mpoa. Mimi mi muhitimu wa diploma ya account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanajijta Recruitment Company wanapatikana Makumbusho kituoni jengo la Choppers Supermarket floor ya tatu. Wanachukua cv kwa ajili ya kukutafutia watu interview wanajazishi form yao kwa...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Habari zenu wadau Kuna mtu yoyote ambae ameshawahi kupata kazi kupitia hawa jamaa wanaojiita "Job Junction Tz ? Kama yupo naomba anipe uzoefu wake na alipataje pataje kazi kupitia kwa hawa...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari jamii nimekuwa nikihangaika kwa muda kutafuta kazi,elimu yangu ni kidato cha nne,nina uzoefu wa usimamizi wa baadhi ya shughuli na kazi mbalimbali. Nimefanya kazi casino kwenye upande wa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna nafasi chache za 'internship' zenye malipo kwenye kituo kimoja cha afya Dar es salaam. Vijana wanaoweza kupata nafasi ni kama ifuatavyo; 1. Clinical Officer (Tabibu)Mwenye leseni...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Japo haitokua 100% solution ya kutatua tatizo la ajira ila njia hii inaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Kila tangazo la watu wanaoomba ajira humu ndani sina shaka kwamba wanamiliki...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Natafuta msichana wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money. Mshahara ni sh 60000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz au mwepes kuelewa kwa muda mfupi. Umri usiwe zaidi ya 23. Eneo la...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana. Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION: Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees . Job...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom