I get confusion comreds.
Hivi inawezekana kwa mtu mmoja kuajiriwa na taasisi mbili za serikali mfano(Muhimbili National hospital na MUHAS) na akawa anapokea mishahara miwili kutoka taasisi mbilio...
Nipo vizuri sana kwenye purchases and accounts.
Pia nina uzoefu na hii kazi nishafanya sehemu mbalimbali.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Kama wewe uko home tu huna kazi yeyote yawezekana upo unatafuta kazi bado hujapata au ni mama wa nyumbani,au ni kaka wa nyumbani kazi yako kubwa ni kuingia mtandaoni kusoma kuangalia dunia...
Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam...
habari zenu wana JF,
nimekuja tena kuomba msaada wa kibarua hali imekuwa ngumu, baada ya kuzunguka kutafuta ajira rasmi ya kufundisha kwenye shule bila mafanikio niligeukia kwenye kazi za...
Habari wapendwa humu JF, Mimi nina miaka 28 chuo nimepita nikapata degree ya masuala ya computer ila kama mnavyojua wimbi la kukosa ajira limekuwa tatizo kubwa kwasasa ndio maana nimeamua kuja...
Habari Wana JF,
Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote...
Habari,
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu.
Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya...
Habari Wakuu,
Mimi ni kijana wa kitanzania Mwenye umri wa miaka 24 mkazi na mzaliwa wa Arusha. Nilikua naomba kazi ya kufanya kwenye Mgahawa au restaurant Ndani ya mkoa wa Arusha na Mikoa jirani...
Habari Jamii forums,
Mimi ni graduate kutoka chuo cha IFM , class of 2019 , nimesomea degree ya Banking and Finance.
Naomba msaada wa kupata kazi as Graduate Trainee , wakati tukiwa chuo...
Ni muhitimu katika fani ya Health SYSTEMS MANAGEMENT kwenye utumishi inahusishwa na ukatibu wa afya.
Nahitaji kazi/ajira si internship popote Tanzania.
Kwa sasa nipo kibaha.
Habari wana jf, naomba kurudia Uzi huu kwa watu ambao wanaweza kunisaidia.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu...
HR WORLD LIMITED on behalf of our client in (Banking Industry) we are looking for a qualified Systems Administrator who has the following responsibilities and qualifications.
SYSTEMS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.