Kazi za viwandani

Kazi za viwandani

therealjoh

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
108
Reaction score
88
Habari jamii nimekuwa nikihangaika kwa muda kutafuta kazi,elimu yangu ni kidato cha nne,nina uzoefu wa usimamizi wa baadhi ya shughuli na kazi mbalimbali.
Nimefanya kazi casino kwenye upande wa slot (head of slot department)zaidi ya miaka 5 nina uzoefu ww kutosha kwenye hili.
kwa yoyote mwenye kujua au kuwa na msaada wa kunipatia kazi atakayoona inanifaa namkaribisha sana,pia mwenye kujua jinsi ya kupata kazi hata viwandani pia namkaribisha ili niweze kupata kipato cha kujikimu mimi na familia yangu.

Natanguliza shukurani.
 
😂😂😂 Maamae 😂😂😂
Mtu anaanzisha mada ya kuomba kazi na yeye mwenyewe anajipa connection ya kazi 😂😂😂

Kweli ukifa kwa msongo wa mawazo umejitakia mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Maamae [emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu anaanzisha mada ya kuomba kazi na yeye mwenyewe anajipa connection ya kazi [emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli ukifa kwa msongo wa mawazo umejitakia mwenyewe
Umejaribu kutuliza akili na kusoma vyema?
Au umeamua kuipumbaza akili kwa kuona kila kitu ni utani?
Next time soma,fikiri,chambua then ukipata jibu sio hasara ukanyamaza.
Maana pengine ukiongea/kutoa jibu watu wataelewa kiasi cha uwezo wako wa kufikiri.
Ahsante.
 
Tatizo umeanzisha mada the una "quote" kujijibu ndo mana jamaa apo jibu kakwambia alicho sema
 
Umejaribu kutuliza akili na kusoma vyema?
Au umeamua kuipumbaza akili kwa kuona kila kitu ni utani?
Next time soma,fikiri,chambua then ukipata jibu sio hasara ukanyamaza.
Maana pengine ukiongea/kutoa jibu watu wataelewa kiasi cha uwezo wako wa kufikiri.
Ahsante.
Sawa boss
 
Mungu akupe wepesi upate kazi ndugu yangu. Hata mimi natafuta kazi kwa imani naamini milango itafunguka tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom