Glas
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,242
- 1,190
Natafuta msichana wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money. Mshahara ni sh 60000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz au mwepes kuelewa kwa muda mfupi. Umri usiwe zaidi ya 23. Eneo la biashara ni morogoro mjini.
Elimu angalau form four. Aliye tayar anichek kwa email au Dm
e.gladness19@gmail.com
Asante
Elimu angalau form four. Aliye tayar anichek kwa email au Dm
e.gladness19@gmail.com
Asante