Natafuta Kazi, naijua vizuri Microsoft Office

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
I know JF has wide possibility to help me, so come on!

I'm a man(29) I've knowledge in computer application based MS-word, excell, access, internet, powerpoint and publisher. Whoever/wherever I search a job.
 
konzogwe you have not said whether you have experience or not, afu wait a minute wewe pia si ulisema ni fundi cherehani unashona nguo mahiri za kina baba? now whats your preference kazi ya computer au ufundi au both?
 
kazi sana kozongwe...ujuzi wako ndio utakuweka kwenye game..maana hizo kozi yako ni ndogo sana kwenye market ya IT....hizo utafanikiwa zaidi kwenye internet cafee au stationary...au receptinist..with computer literacy..hapo ndio apply faster
 
Soma zaidi magazeti...ukiona receptinist apply...ushauri wangu tu maana wahitimu wenye dip an adv dip ni wengi sana hawapati lolote kwenye fani hiyo....
 
To be honest,kama umeshindwa kupata kazi huko mitaani- uwezekano wa kupata kazi kupitia JF ni mdogo sana. Hapa labda useme unatafuta mchumba....
 
Jamani JF maintanance team hakuna nafasi huko mumuangalie huyu ndugu yetu. Kwa nini msimpe kazi ya ku upgrade databases zetu ili ku prevent attack? Mamods msaada huo mko wapi?
 
Hizo zote fani zangu kwenu ninyi mnaostuka. After all nilisema nisaidieni kuinua kipato,so hiyo ni moja ya hatua kutafuta nitafutacho. If you have something on either way please jot. However I discouraged enough.
 
Waambie mwanangu, lazima tuwe multi talented vile vile, kesho keshokutwa unaanzisha mambo ya Computer Aided Design katika ufundi mitindo wanashangaa.

Kama walivyosema wadau hapo juu, jaribu kusoma vitu vyenye kuhitajika.Kama ukijua mambo ya networking au systems zinazotumika na watu wa biashara ya internet kuanzia Internet Cafe au hata mambo ya Internet Service Provider.

Unatakiwa kuwa m sharp kweli kujua vitu vinavyokwenda na wakati.Uweze kutumia internet vizuri, pia ukijua mambo ya hardware itasaidia sana.

Angalia kama unaweza kupata kazi ya u "apprentice" ambapo unaweza kuchukua ujuzi zaidi na kuendelea, miaka mingi ya nyuma nilikuwa na rafiki zangu walikuwa wanafanya kazi kwa Muhaya mmoja pale jengo la IPS kutengeneza computer,alikuwa anawalalia sana mishahara,lakini walichukua ujuzi na baada ya mwaka akawa anaona mmoja mmoja anaondoka kwani watu wanaojua computer walikuwa wanatakiwa sana.

Kuna Mzee wa kuitwa Shy mtu wa article na ma tutorial kichizi hebu mbofye kwanza hapa http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=11765

Kama unataka watu wa kukuongoza kuhusu maswala humu wamejaa waliobobea, usikonde wala nini, wazushi kibao pia ambao hawaamini kama mtu mmoja anaweza kucharaza cherehani na computer, wanaona kama maajabu ya Quantum Physics na paka wa Schrodinger vile.
 
Unaweza Kufanya Kazi Na Mimi Kama Uko Interested Naomba Uweke Cv Yako Hadharani Na Namba Zako Za Simu Au Taarifa Zingine Za Mawasiliano

Mimi Kampuni Yangu Bado Changa Tutaendelea Hivyo Hivyo Kufanya Kazi Mpaka Hapo Tutakapopata Mafanikio Zaidi
 
konzogwe you have not said whether you have experience or not, afu wait a minute wewe pia si ulisema ni fundi cherehani unashona nguo mahiri za kina baba? now whats your preference kazi ya computer au ufundi au both?

Konzogwe,

Sitaki kukukatisha tamaa... lakini kama ulivyosema, experience na qualification yako bado ni ndogo. Umri wako unakuruhusu, tafadhali ongeza elimu.

Ushauri wangu ni kwamba, angalia matangazo ya nafasi za kazi za IT yanataka mtu mwenye qualifications gani, kisha tafuta vyuo kama UCC, ujiandikishe kwenye kozi hizo ili uweze kuongeza ujuzi. Hapo nina uhakika hutapata shida ya kutafuta kazi.

Mafanikio mema.

./Mwana wa Haki
 
I know JF has wide possibility to help me,so come on!
Am a man(29) I've knowledge in computer application based MS-word,excell,access,internet,powerpoint and publisher. Whoever/wherever I search a job.
We are looking for someone with ICT skills
please contact us 0717157640
 
I know JF has wide possibility to help me, so come on!

I'm a man(29) I've knowledge in computer application based MS-word, excell, access, internet, powerpoint and publisher. Whoever/wherever I search a job.
kama una interest ya kujitolea kwa moshi kilimanjaro tuwasiliane 0717157640
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom