kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 860
Habari wakuu.
Mimi ni kijana wa kiume Miaka 24. Mkazi wa Arusha. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Naomba kwa yeyote mwenye kuweza kunipa ajira ya muda au ya kudumu. Kitengo chochote iwe ni ofisini, Nyumbani, shambani.
Nina uwezo mzuri wa kuongea kiswahili na kiingereza. Elimu yangu na degree. Na pia ni mchapakazi mzuri na sichagui majukumu. Naweza kufanya kazi sehemu popote pale Ndani ya Tanzania.
Nashukuru sana kwa maombi yangu. Kwa taarifa na maelezo mengine zaid karibu PM.
Mungu akubariki[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app