Tambua ufanisi na umuhimu mkubwa wa job Junction Tanzania

Nanalitooh

Member
Jul 14, 2021
9
5
UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION:
Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees .

Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri interviewees,Maswali ya Interview,Namna ya kuandaa cv na kukutanisha na wajiri kwajili ya interviewees then ukifanya vizuri interviewees ndio unapata Ajira.

KWANINI BAADHI WATU WANAISEMA VIBAYA JOB JUNCTION:
1)Wengi wanao isema vibaya Job Junction ni wale walio fanya vibaya interviews na wakakata tamaa then ili kujisafisha wakaona ni bora waiseme vibaya Job Junction ili wao waonekane wako vizuri, Ukiona mtu anajua kulaamu zaidi tambua anajiprotect asi be judged.

2)pia wengine wanaoisema vibaya ni Washindani wao, Maana kuna makampuni mengi ya Recruitment ila Job Junction Tanzania ndio the best na ndio ya uhakika kwa hapa Tanzania ,That y makampuni hayo mengine wanaichafua Job Junction ili ishuke...Ni ukweli usio jificha mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
3)Na wengine ni wale wasio ijua vyema Job Junction bali ni mashabiki tu .

UMUHIMU WA JOB JUNCTION
Job Junction kwanza ni wawazi unapo watembelea ofisini kwao yani wako very
Open, Na mm nimepata ajira kupitia kampuni hiyo kwa kuhudhuria interviewees na kufundishwa interviewees skills .

Wengi wa graduates hawako vizuri kwenye siko la ajira ndio maana wanaishi kulaumu kila kitu kuanzia serikali ,Wazazi na jamii kuwa ni chanzo cha wao kukosa Ajira. Ila ukweli wenge stahili kujilaumu kwanza wao na kuwa tayari kujifunza na kuto chagua kazi.

Wengi wa graduates wakiona wana bachelor degree wanakuwa matarajio makubwa bila kutambua degree is just a paper without skills and productivity.

USHAURI WANGU:
Nawapongeza Job Junction Tanzania na waendelee kupiga kazi .
Na Wengi wafanikiwa kupitia workshops na interviewees wanazotoa .

Kuendesha taasisi kama ile ni ghari kuna kulipia jengo , Wafanyakaz na huduma nyingine ni wazi huduma wanayo itoa haiwezi kuwa buree.
 
Wapo wapi hao watu, nasie tukajaribu huko kupatiwa ajira sehemu ya uhakika
 
UKWELI KUHUSIANA NA JOB JUNCTION:
Job Junction imekuwa msaada mkubwa kwa vijana na imesaidia vijana wengi kupata uelewa wa interviewees skills na hatimaye kufanya vizuri interviewees .

Job Junction hawatoi Ajira kama watu wengine wanavyo fikiri bali wanafundisha watu namna ya kufanya vizuri interviewees,Maswali ya Interview,Namna ya kuandaa cv na kukutanisha na wajiri kwajili ya interviewees then ukifanya vizuri interviewees ndio unapata Ajira.

KWANINI BAADHI WATU WANAISEMA VIBAYA JOB JUNCTION:

1)Wengi wanao isema vibaya Job Junction ni wale walio fanya vibaya interviews na wakakata tamaa then ili kujisafisha wakaona ni bora waiseme vibaya Job Junction ili wao waonekane wako vizuri, Ukiona mtu anajua kulaamu zaidi tambua anajiprotect asi be judged.

2)pia wengine wanaoisema vibaya ni Washindani wao, Maana kuna makampuni mengi ya Recruitment ila Job Junction Tanzania ndio the best na ndio ya uhakika kwa hapa Tanzania ,That y makampuni hayo mengine wanaichafua Job Junction ili ishuke...Ni ukweli usio jificha mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
3)Na wengine ni wale wasio ijua vyema Job Junction bali ni mashabiki tu .

UMUHIMU WA JOB JUNCTION

Job Junction kwanza ni wawazi unapo watembelea ofisini kwao yani wako very
Open, Na mm nimepata ajira kupitia kampuni hiyo kwa kuhudhuria interviewees na kufundishwa interviewees skills .

Wengi wa graduates hawako vizuri kwenye siko la ajira ndio maana wanaishi kulaumu kila kitu kuanzia serikali ,Wazazi na jamii kuwa ni chanzo cha wao kukosa Ajira.
Ila ukweli wenge stahili kujilaumu kwanza wao na kuwa tayari kujifunza na kuto chagua kazi.

Wengi wa graduates wakiona wana bachelor degree wanakuwa matarajio makubwa bila kutambua degree is just a paper without skills and productivity.

USHAURI WANGU:

Nawapongeza Job Junction Tanzania na waendelee kupiga kazi .
Na Wengi wafanikiwa kupitia workshops na interviewees wanazotoa .

Kuendesha taasisi kama ile ni ghari kuna kulipia jengo , Wafanyakaz na huduma nyingine ni wazi huduma wanayo itoa haiwezi kuwa buree.
Sawa Afisa Masoko.
 
Mr Ezekiel mbaga haina haja ya kutumia maneno makali kama matusi inaonesha wazi huna hoja zaidi ya chuki,Mtu mwenye nia nzurii kwa jamii huwa anatumia hoja nasio matusi.

Inaonesha wazi ww ni mshindani tu bila hoja bali unachuki na huduma njema inayotolewa na Job Junction,Kiukweli mtu msomi huwa hatumii meneno ya matusi bali hoja na ushahidii.

Inaonesha elimu yako haikusaidii,Hata ukiajiriwa haiwezi kuwa mfanyakazi bora maana huna kauli zuli hata kama umechukia kitu au kuchukizwa na kitu ni vyema ukatumia kauli njema.

Nashukuru maana jamii imeona dhahiri jinsi ulivyo .
 
bila shaka ww ndie job juction mwenyew ume kuja kujitetea hapa maana ID ime kuja mara tuu baada ya mtu kuuliza kuhusu hii kampuni
kwann mu mlipishe mtu pesa kabla hajapata kazi mahala na ilihali mme tangaza nafasi moja lakin mmeita watu 50 kwa nafasi hiyo hiyo na wote hao mmana walipisha fedha kati ya 30-50k kwa kigezo cha malipo ya training na kusambaziwa cv kweny maofisi mbali mbali
 
Mmeamua sasa waajiriwa wa Job Junction kuitumia JF kupiga propaganda weeeee ili waje kulip sana fedha za kujaza fomu mpate mishahara ya uhakika wa kila mwezi. Hongereni maana mmeanza kuja na uzi za mara kwa mara kuhusu Job J kwasiku mara 2 mmeona si mbaya
 
Back
Top Bottom