Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Kwanza napendeza kuipa hongera kwenda ajira.go.tz kwa jitihada utumishi wanazozifanya katika kusogeza huduma karibu kwa wateja. Je wewe ni mmoja kati ya watu ambao wameshawahi kufanya maombi ya...
11 Reactions
407 Replies
137K Views
Wadau wenzangu Job Seekers, ninaishukuru TANAPA kwa kutangaza nafasi tele za kazi. Ila wamesema tuombe online. Nimejaribu kujiunga na hiyo ARUTI system lakini kila nikiomba wanipeleke kwenye...
5 Reactions
163 Replies
27K Views
Habari wakuu. Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering. Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross. Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na...
15 Reactions
229 Replies
18K Views
Nimejitahidi kutafuta ajira za Azam ila sioni popote kama kuna matangazo yao ya ajira, naona wapo tofauti kidogo na METL. Kwa ambaye anajua kama Azam anatoa nafasi za ajira anisaidie niangalie...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Habarini ndugu zangu wana JamiiForum, poleni na majukumu ya kazi, Ndugu yenu nimekuja mbele yenu mnipokee na kunisaida, nina shida ya Kazi/Ajira, Iwe Serikalini au Sector Private nitashukuru...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Naomba kujua ugumu unatoka wapi kwa mtoto wa kiume kupewa connection ya kazi na mwanaume mwezie? Ila kwa mtoto wakike sio ngumu hii kwangu sio sawa kabisa
3 Reactions
23 Replies
3K Views
- Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa...
2 Reactions
0 Replies
756 Views
A newly opened clearing & forwarding company, is looking for a qualified and experienced declaration Officer, who can do Local, Transit and export declaration, for containers, loose cargo and...
2 Reactions
5 Replies
942 Views
Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
1 Reactions
49 Replies
13K Views
Naam ni izi selection zilizoitwa juzi hapa za utumishi serikalini. Tunaenda pambana watu zaidi ya buku kusaka ajira za kudumu. Gharama za nauli+chakula+malazi nenda rudi inakaribia 300k dah...
18 Reactions
94 Replies
7K Views
Habari za leo? Kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanahitajika Laboratory Managers, Laboratory Supervisors, Chemists, Laboratory Technicians na Laboratory Assistants kwenye Mgodi wa Dhahabu. Andaa CV yako, barua ya maombi na vyeti vyako kwaajili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, huu uzi ni maalum kwa wale walio omba mafunzo ya kilimo kwa vijana, yatakayofanyika Bihawana Dodoma. Mpaka dirisha linafungwa vijana 16 elfu walikuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu kwa wale majobless kama mimi nawapa ujanja baada ya kupata uzoefu kidogo wa miezi kama mitatu hivi, kwa dar es salaam kuna masoko kama manne hivi ninayoyafahamu vizuri..yaani soko la...
37 Reactions
89 Replies
18K Views
Nurse Position at Milvik Bima Location : Dar es Salaam, Tanzania MILVIK BIMA Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba serikali iliangalie hili. Katika utafiti niliofanya nimegundua jambo hili: Mfumo wa kuajiri kupitia ajira portal na kuita watu kwenye usaili wa mchujo physically mikoa ya mbali unamaliza...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Habar wakuu! Msaada wakuu niokoe apa jahaz apa nyumban Naomba mtu anae weza kunisaidia kuniunganisha nikapata kaz yoyote ya viwandan hapa mbeya au kaz ya ufundi ujenzi mimi ni fundi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom