Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi ni tabibu (Clinical Officer) mwanamke. Nipo Mbinga Ruvuma. Nahitaji wa kubadilisha naye vituo. Awe wilaya yoyote ya Mkoa wa Kagera, wilaya ya Bukombe au Chato mkoa wa Geita au wilaya ya...
0 Reactions
2 Replies
779 Views
Habari za wikiendi wakuu. Naandika uzi huu kuwakumbusha vijana wote walioajiriwa na TRA katika zile nafasi mpya 400: na hapa nitaegemea kwa wale ambao hawajawahi kufanya kazi katika utumishi wa...
8 Reactions
64 Replies
11K Views
Habari zenu wakuuu, Mimi ni muhitimu wa water supply chuo cha maji Dar es salaam. Pia continuous student wa water resources engineering degree hapa hapa chuo cha maji, tumepata rikizo ya mwezi...
1 Reactions
4 Replies
873 Views
Kwenye tangazo lenu la ajira mlisema kuwa mnataka kuanzia Div 1 mpaka IV!!,Si mngesema tu kipaumbele chenu ni Div III na IV na wale walioko kwenye kambi za JKT ambao wanajitolea?
2 Reactions
6 Replies
693 Views
Habarini wakuu, Kumekuwa na Changamoto ya Graduates kuomba kazi lakini hawaitwi kwenye udahili kutokana na CV pamoja na Coverletter kukosa ushawishi kutoka kwa Mwajili. Pia inawezekana Muda wa...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
Habari wakuu ningependa nieleweshwe taratibu kamili za kufuata ili uweze kuhama sekt moja kwenda nyingine. Mfano.sekta ya maji kwenda sekta ya madini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu hivi kazi za kutwa pale bandari malipo yake yanakuwaje kuna hizi position 1)Operator 2)Makalani 3)madereva 4)wafanya kazi za mikono (sio ujuzi) Sina uelewa Sana ila hizi kazi Kama...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
0612912296 (eneo la kazi ni Kisasa,Dodoma)
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Habari za mida wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nahitaji kupata kazi yoyote ya kufanya itakayo nisadia kupata chochote kitu, yaani nipo tu kitaa, sina kazi. Pia hatakama una kazi yako...
1 Reactions
3 Replies
543 Views
Wakuu, nilikuwa nauliza anayejua ronja ya interview ya polisi na uhamiaji ni lini.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama ni mtafuta ajira ambaye umewahi kupata bahati ya kuitwa kwenye usaili, bila shaka swali hili sio geni. Ni swali la “wewe ni nani” ambalo mwajiri anauliza ili kufahamu taaluma, ujuzi na...
2 Reactions
25 Replies
12K Views
Habari za humu ndani, Nina ndugu yangu yeye ni dereva wa canter, kuanzia tani 2, 3 mpaka magari makubwa anaendesha. Ni mzoefu wa kazi husika kwa miaka mingi, Leseni hai iliyokamilika. Kwa sasa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
1.Njoo Mafia-Mkoa Pwani katika hospital ya Wilaya MAFIA. -Nije Mwanza Wilaya Nyamagana,Magu na Ilemela. -Nije Mbeya Wilaya yoyote au Manispaa -Nije Arusha Wilaya yoyote au Manispaa -Nije Dar...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni Mwl wa Chemistry na biology O level natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka 15 kazini. Nipo Dar es Salaam. Contact: 0764 727890
1 Reactions
2 Replies
901 Views
Habari wakuu! Kuna chuo cha Veta kinatafuta mwalimu wa Life skills na Entrepreneurship! Wanahitaji mtu mwenye diploma na kuendelea.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
JOB VACANCY JOB TITLE: Office Attendant JOB SUMMARY: To keep the Office Clean and tidy, deliver messages and packages within the office and performing miscellaneous duties such as making small...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo mkuu wa nchi ambae ni Rais ameagiza na kuruhusu mashirika kuajiri watumishi wa umma moja kwa moja. Hii ina maana sasa hayo mashirika mfano TRA, TANESCO na mengine yaliokuwa yatumia PSRS sasa...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu nina ndugu yangu Amesomea Ualimu Hisabati level ya Degree.G.P.A 3.3 mwajiliwa sekondari.Na amejiendeleza Sasa Ana masters ya Applied mathematics and computational science G.P.A 4.3 .Anaomba...
1 Reactions
6 Replies
706 Views
Naitwa Innocent Mvulana kutoka Arusha mwenye taaluma ya maabara ya binadamu, natafuta kazi ya maabara Arusha au Moshi mwenye uelewa tafadhali naomba mawasiliano kupitia 0763506458. Asante
2 Reactions
4 Replies
864 Views
Back
Top Bottom