Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

NAFASI YA KAZI Habari, mtu yoyote ambaye amesomea au anajua masuala ya kudispense madawa (Duka la Dawa) aje inbox ASAP. Duka lipo Ubungo Kibangu. Conditions 1. Awe wa kike na Awepo Dar es...
0 Reactions
3 Replies
577 Views
Naomba ufafanuzi kuhusu hili ivi mfano Diploma umesomea procurement and supply na Umasha upload vyeti vyako ajira portal Alafu degree ukasomea accounting na vyeti uka upload ajira portal Je...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi kijana mwenye elimu ya kidato cha nne. Naomba mnisaidie mtu yoyote mwenye uhitaji wa kufanyiwa kazi kama vile: 1. Kunituma kutoka sehemu 1 hadi nyengine...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu. Nitaenda moja kwa moja kwenye mada, natafuta mtu ambaye nitashirikiana naye katika biashara ya uchenjuaji wa marudio ya dhahabu. Marudio yapo maeneo ya Morogoro, marudio...
10 Reactions
60 Replies
5K Views
Greetings, My name is Gozibati Bayona, a 24 years old. I seeking for an employment opportunity in any related field that my particulars fit. Education level: Bachelor degree in Business...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari, Naomba graduate wa sheria ataeweza kufundisha mwanafunzi wa Sheria Open University kwa njia ya mtandao tuwasiliane whatsap number +919535742292 (whatsap tu) kujadili utaratibu mzima...
0 Reactions
6 Replies
503 Views
Habari, Natafuta kazi ya kupika vitafunwa na chakula kwa ujumla Naishi Dar, naombeni msaada wenu.
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Naitwa zaza Nina Miaka 23, Natafuta mke wa kuishi nae uchumba hadi ndoa, Umri asizidi miaka 25, , hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Seriously upweke...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Kama uzi unavojieleza natafuta mdada wa kuniuzia duka langu la vinywaji kama nilivoainisha hapo juu🙄. Duka ni la jumla na reja reja lipo maeneo ya tabata muslim hapa jijini dsm. Sifa za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu. Hadi kufikia leo hii nimeshafanya interview kama tatu hakuna niliyopata. Wiki hiki hii ninayo nyingine. Hebu wanabodi mje mniambie nakosea wapi. Maswali matatu niliyokutana nayo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
- Tangazo la kazi huandaliwa kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Muundo wa kada husika uliowasilishwa na Mamlaka ya ajira husika. - Tangazo pia huzingatia masharti ya jumla yanayotolewa na...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu!! nauliza hapa kama kichwa cha ujumbe hapo juu, Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 14 january katika kanda tofauti tofauti yametoka au bado? natafuta sioni..labda kuna...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna...
2 Reactions
5 Replies
811 Views
Habari Wananzonde jukwaani Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote ...
7 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 NATAFUTA KAZI yoyote ya halali owe Viwandani, Madukani, Makampuni n.k Elimu yangu kidato cha nne Fani WELDING (UCHOMELEAJI) NAOMBENI...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Greetings, My name is Harrison Munuo, a 28 years old . A holder of a bachelor degree in Education(IT& Geography). I'm seeking for an employment opportunity on any field that my particulars fit. I...
2 Reactions
4 Replies
845 Views
Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu. Vijana wenzangu ninawapenda sina...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Anahitajika mfamasia aliyepo mkoa wa DSM ili atumie cheti chake kufungulia pharmacy, mshahara kwa vile biashara inaanza ni laki7 kwa mwezi ila kadri biashara inavyokua kubwa utaongezwa huo...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari, naomba kuuliza mshahara wa tutorial assistant kwa vyuo vikuu ni shilingi ngapi? Pia naomba kujua mshahara wa Tutor wa VETA ni shilingi ngapi?
1 Reactions
65 Replies
18K Views
Back
Top Bottom