Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari Waungwana. Naitwa Diwani D.A. nina umri wa miaka 27, kitaaluma ni Mwalimu, nina uzoefu wa kufundisha tangu mwaka 2019. Nina uhitaji wa kazi ya kufundisha kwa muda (Kutwa), Shughuli hii...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Shindano la kuandika Insha kwa shule za Sekondari
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba mwenye tangazo la hizi kazi za MDAs & LGAs anisaidie. Hizi nafasi za kazi usaili wake wa written ulishafanyika na tangazo lake lilitoka mwaka jana. Naomba ambaye analo anipe wakuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa, wakubwa shikamoni. Leo nimepata invitation letter ya mwajiri nchini Europe jiji la ireland Dublin ila nimeambiwa niendelee na procedure za application form kama; ~ Europass...
2 Reactions
11 Replies
795 Views
Kuna mtu alishawai kuniambia kwamba kama wewe unaona confidence yako ni ya mashaka sana kwenye oral interview bhasi kunywa bia/beer moja au 2 afu ingia kwenye oral the rest will be historia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Natumaini wazima wa afyaa,Mm ni kijana wa Mika 29 ni mkazi wa jijini DAR nimejitokeza mbele yajukwaa ilii kuomba fursa ama connection yeyote ile ya kibishara Mana na amini kupitia jukwa ili Kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji Graduate Electrical Engineers wa mwaka jana. Hawa wenye reg. 2018-04-.... Naomba unitumie CV yako na vyeti pia kama ukiweka na application letter ni nzuri pia.. Eneo la kazi ni KAGERA...
2 Reactions
3 Replies
983 Views
Mwenye fursa naomba tupeane connection
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nafasi za kazi pdf nmewatumieni
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea. Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine. Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa...
0 Reactions
9 Replies
871 Views
Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia •...
13 Reactions
141 Replies
11K Views
Jamani shule zinafunguliwa kesho kutwa, Naombeni kazi ya kufundisha Kwa sekondari kwenye History na Kiswahili na Kwa shule za msingi ni masomo yote. Tangu nihitimu mafunzo ya shahada ya ualimu...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
TAKUKURU walitangaza ajira nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi za "WACHUNGUZI WASAIDIZI" .Hatua ya kwanza watu waliomba wakajaza taarifa kwenye mfumo na kuambatanisha nyaraka zote zilizohitajika...
10 Reactions
32 Replies
8K Views
Habari Nauliza kama kuna anaefahamu hali ya uajiri wa LAKE GROUP na mishahara yao
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, suala la kusaka ajira za serikali haijawahi kuwa jambo rahisi kwa wale ambao hawana kazi hata wale ambao wapo kwenye private ila wanataka kuingia serikalini kwa ajili ya...
3 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu. Jana nilikuwa na interview katika Kampuni fulani ila nimekuwa so disappointed baada ya kuulizwa sikujua walikuwa wanakusudia nini? Umezaliwa wapi? Kabila gani? Nani alikushawishi kutuma...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Msaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti Vyeti vya shule majina yanasoma; Jakaya Mrisho Cheti cha kuzaliwa na NIDA ID majina yanasoma; Jakaya Mrisho Kikwete. Ushauri wakuu...
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Wakuu, Naomba kuuliza kama Tanzania kuna ma agent wa kazi za nje ya nchi. Shukrani.
0 Reactions
16 Replies
11K Views
Habari wana ndugu, natumaini mpo salama kabisa na Bwana anazidi kuwabariki katika shughuli zenu za maisha ya kila siku. Kuna ndugu yangu ana magari mawili, moja ni Hiace na nyingine ni Tata...
0 Reactions
1 Replies
605 Views
Back
Top Bottom