Msaada wakuu niokoe apa jahaz apa nyumban Naomba mtu anae weza kunisaidia kuniunganisha nikapata kaz yoyote ya viwandan hapa mbeya au kaz ya ufundi ujenzi mimi ni fundi.
Habar wakuu! Msaada wakuu niokoe apa jahaz apa nyumban Naomba mtu anae weza kunisaidia kuniunganisha nikapata kaz yoyote ya viwandan apa mbeya au kaz ya ufundi ujenzi mm nifund namba yang 0623935516 [emoji120][emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.